nimechelewa lakini napenda tovuti yako mpya (sijui kusemaje 'remake/redesign/overhaul'). rangi sana. pia nilisoma ukaguzi wako 'the yacoubian building' na nakitazama kitabu kusoma maktaba.
Nimefanikiwa kuangalia ukurasa wako wa kiswahili, na nimepata makosa kadhaa ya kuchekesha lakini bado nina furaha ya kwamba umevutiwa na lugha hii. natumai utaweza kuielewa na kuinena lugha hii vyema siku moja.
nimesisimka kusoma maoni haya.. hapakuwa na tovuti kiswahili zingine wakati nilipifanya tovuti yangu. Nilipenda kusoma tovuti yako, nilijifunza maneno mapya kwamba sijaona kabla. Asante sana kwa maoni yako mazuri, nitataka kujifunza zaidi kiswahili.