🎈 Karibu 🎈

nkyalo.neocities.org

846 views
1 follower
312 updates
0 tips
Niliharibu tovuti yangu. Kwa yule atakaye hisi kunitembelea, niwie radhi kwa muda kiasi tu. Nitaitengeneza haraka.
Nimefanikiwa kuangalia ukurasa wako wa kiswahili, na nimepata makosa kadhaa ya kuchekesha lakini bado nina furaha ya kwamba umevutiwa na lugha hii. natumai utaweza kuielewa na kuinena lugha hii vyema siku moja.
1 like
ciliaris's avatar ciliaris 1 week ago

nimesisimka kusoma maoni haya.. hapakuwa na tovuti kiswahili zingine wakati nilipifanya tovuti yangu. Nilipenda kusoma tovuti yako, nilijifunza maneno mapya kwamba sijaona kabla. Asante sana kwa maoni yako mazuri, nitataka kujifunza zaidi kiswahili.

1 like

Website Stats

Last updated 1 week ago
CreatedJul 5, 2024
Site Traffic Stats

Tags

art gay kenyan literature swahili